Shuhuda za Wateja

Wateja halisi, magari halisi. Tazama makabidhiano ya magari na usome wanachosema wanunuzi kutoka Afrika na kwingineko kuhusu kununua kupitia Tanzanite.
4.9Wastani wa alama
13Maoni ya wateja
1Nchi tunazohudumia
Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Mungu awabariki sana Tanzanite jmn

H

HAPPIE

DAR ES SALAAM, TANZANIA

Alinunua: TOYOTA RACTIS 2005

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Asanteni sana kwa huduma nzuri

J

JOHN

DAR ES SALAAM, TANZANIA

Alinunua: MAZDA CX5

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

I like your service guys

M

MARTHA

DAR ES SALAAM, TANZANIA

Alinunua: MITSUBISHI OUTLANDER HYBRID

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Gari nzuri sana

AO

Adv. Ombeni

ARUSHA, Tanzania

Alinunua: Toyoya Premio

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Mnatoa huduma nzuri sana

YI

YUSUFU IDDI

SONGEA, TANZANIA

Alinunua: CANTER FLAT BODY(4D33)

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Nimefurahi sana mm 😊😊

MM

MARRY MARUNGI

DAR ES SAKAAM, TANZANIA

Alinunua: TOYOTA HARRIER ANACONDA (2016)

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

DD

DELIVERY DAY

DAR ES SALAAM, TANZANIA

Alinunua: MAGARI 40 KWA PAMOJA YALIKABIDHIWA

Tazama video
Mnunuzi aliyethibitishwa

Mungu awabariki sana Tanzanite Autotraders Limited

SL

SHIRIKA LA MASISTA SUMBAWANGA

RUKWA, TANZANIA

Alinunua: FUSO BUS AERO MODI

VICTOR, Toyota Ractics
Mnunuzi aliyethibitishwa

Hawa ni watu making sana maana sikupata usumbufu wowote nilipofanya nao kazi

V

VICTOR

DAR ES SALAAM_roro, Tanzania

Alinunua: Toyota Ractics

Hamad, Hino Ranger
Mnunuzi aliyethibitishwa

Waliniletea gari nzuri ya kazi

H

Hamad

Ngara, Tanzania

Alinunua: Hino Ranger

Martha, Subaru Forester
Mnunuzi aliyethibitishwa

The car was so amazing πŸ‘

M

Martha

Arusha, Tanzania

Alinunua: Subaru Forester

NDEGE ULAYA, AERO MIDI
Mnunuzi aliyethibitishwa

Wanaleta gari nzuri sana

NU

NDEGE ULAYA

Arusha, Tanzania

Alinunua: AERO MIDI

SIXBERT, Toyota Rumion
Mnunuzi aliyethibitishwa

Napenda kuwashukuru Tanzanite Auto Traders Limited maana gari imefika kwa wakati na imekuja na vigezo vote kama nilivyotaka

S

SIXBERT

Arusha, Tanzania

Alinunua: Toyota Rumion

Jiunge na wateja wetu walioridhika

Pata gari lako lijalo kati ya maelfu ya magari bora, malori na mabasi yaliyopo.

Angalia Magari β†’